Colima (jimbo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Colima ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico upande wa magharibi ya nchi. Ina pwani na Pasifiki. Ni jimbo dogo, imepakana na Jalisco na Michoacán.
Mji mkuu ni Colima na mji mkubwa ni Manzanillo. Jimbo lina wakazi wapatao 567,996 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,191.
Gavana wa jimbo ni Jesus Silverio Cavazos Ceballos
Lugha rasmi ni Kihispania