East Coast hip hop
From Wikipedia, the free encyclopedia
East Coast hip hop ni jina la fomu ya muziki wa hip hop ambao unaasili na kukuzwa mjini New York City, Marekani, mwanzoni mwa miaka ya 1970 na 1980. Mtindo huu ulianza kujulikana hasa baada ya wasanii wengine kutoka sehemu mbalimbali za Marekani na kuongezea staili tofauti. East Coast hip hop ulifahamika sana kama ndiyo fomu halisi ya muziki wa hip hop.