HomaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Homa ni hali ya wanyama kuwa na halijoto ya mwili juu ya halijoto ya kawaida (37 °C katika mamalia). Kipimajoto ni kifaa cha kupimia homa. Halijoto ya kawaida ya mwanadamu ni kati ya 36.6 na 37 sentigredi za Selsiasi ikipimwa chini ya ulimi.
Homa ni hali ya wanyama kuwa na halijoto ya mwili juu ya halijoto ya kawaida (37 °C katika mamalia). Kipimajoto ni kifaa cha kupimia homa. Halijoto ya kawaida ya mwanadamu ni kati ya 36.6 na 37 sentigredi za Selsiasi ikipimwa chini ya ulimi.