Iğdır
From Wikipedia, the free encyclopedia
Iğdır (Kiarmenia: Իգդիր) ni jina la mji mkuu wa Jimbo la Iğdır lililopo mjini Mashariki mwa Mkoa wa Anatolia, Uturuki. Mji umepakana na Armenia, Nakhchevan na Iran. Mpaka wa Armenia una sababishwa na Mto Aras. Mlima mrefu wa Uturuki ni Ağrı Dağı, upo ndani ya jimbo la Iğdır, lakini sehemu kubwa ya ardhi ni tupu ambo iko mbali na eneo la mlima. Mji una wakazi wapatao 119,432 na wengine 75,927 wapo mijini. Mji una eneo la kilomita za mraba zipatazo 1,479.