Jena
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jena ni mji wa Thuringia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Saale. Idadi ya wakazi wake ni takriban 104,449. Mji ulianzishwa 1182.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jena | |||
| |||
Mahali pa mji wa Jena katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 50°56′0″N 11°35′0″E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Thuringia | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 104,449 | ||
Tovuti: www.jena.de |
Funga