Kisangani
Muji mku ya Tshopo ku Jamuuri ya ki Demokratia ya Congo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kisangani ni mji mkubwa wa mashariki mwa Kongo wenye wakazi zaidi ya 1,600,000. Ni mji mkubwa wa tatu wa nchi hiyo.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Kisangani | |
Mahali pa mji wa Kisangani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|
Majiranukta: 0°31′0″S 25°12′0″E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mkoa | Mkoa wa Tshopo |
Idadi ya wakazi (2015) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,602,144 |
Funga
Mji uko kando ya mto Kongo mahali ambako mto huu mkubwa umepita maporomoko ya Bayoma na kuwa njia ya maji hadi Kinshasa.