Kocha
From Wikipedia, the free encyclopedia
Katika michezo, kocha (kutoka Kiingereza: coach) ni mtu mwenye majukumu ya kuelekeza, kufundisha na kusimamia masuala yote yahusuyo mbinu na njia za uchezaji kwa timu nzima na mchezaji mmojammoja. Kocha anaweza kuwa mwalimu pia.