Lilongwe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lilongwe ni mji mkuu wa Malawi wenye wakazi 597,619 (sensa ya mwaka 2003). Yenyewe iko kusini magharibi mwa nchi, magharibi mwa Mto Malawi karibu na mpaka wa Malawi na Msumbiji na Zambia. Lilongwe mahali pake ni 13°59′S 33°47′E (-13.98333, 33.78333). Archived 25 Machi 2011 at the Wayback Machine.