Lubbock, Texas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lubbock ni mji wa Marekani katika jimbo la Texas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 200, mji una wakazi wapatao 260,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 992 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Lubbock | |
Mahali pa mji wa Lubbock katika Marekani |
|
Majiranukta: 33°33′53″N 101°52′40″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Texas |
Wilaya | Lubbock |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 212,169 |
Tovuti: www.ci.lubbock.tx.us |
Funga