Mkoa wa Kongo Kati
jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Kongo Kati ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ukweli wa haraka Nchi, Mikoa ...
Mkoa wa Kongo Kati |
|
Mahali pa Mkoa wa Kongo Kati katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mikoa | |
Mji mkuu | Matadi |
Eneo | |
- Jumla | 53,920 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 4,522,942 |
Funga
Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,522,942.