Muna Lee (mwanamichezo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Makala hii inahusu mwanariadha wa Marekani. Kwa makala ya mwandishi wa Puerto Rico, angalia Muna Lee (mwandishi).
Ukweli wa haraka Rekodi za medali, Anawakilisha nchi Marekani ...
Rekodi za medali | ||
---|---|---|
Muna Lee (aliye nyuma) akishindana na Allyson Felix katika majaribio ya Olimpiki | ||
Anawakilisha nchi Marekani | ||
Riadha ya Wanawake | ||
Mashindano ya Mabingwa wa Dunia ya IAAF | ||
Dhahabu | 2005 Helsinki | 4x100 m |
Funga
Muna Lee (alizaliwa Little Rock, Arkansas, 30 Oktoba 1981) ni mwanariadha wa mbio fupi fupi wa Marekani.