Naucalpan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Naucalpan (pia: Naucalpan de Juárez) ndiyo mji mkubwa wa tatu jimboni la Mexico. Kuna wakazi 792,226, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 821,442. Mji upo m 930 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 184 km².
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la Ciudad Naucalpan | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Mexico |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 792.226 |
Tovuti: www.naucalpan.gob.mx |
Funga
Mji ulianishwa mwaka 1574.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Naucalpan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |