Real Betis
From Wikipedia, the free encyclopedia
Real Betis Balompié, SAD(Sociedad Anónima Deportiva), ambayo inajulikana zaidi kama Real Betis, ni klabu ya soka ya Hispania iliyoko Seville. Klabu hii ilianzishwa tarehe 12 Septemba 1907, inacheza katika La Liga.
Jina "Betis" linatokana na Baetis, jina la Kirumi kwa ajili ya mto wa Guadalquivir ambao unapita huko Seville. Jina "Real" liliongezwa mwaka 1914 baada ya klabu kupokea utawala kutoka kwa Mfalme Alfonso XIII.