Sam Smith
From Wikipedia, the free encyclopedia
Samuel Frederick Smith (au Sam Smith tu; amezaliwa London, Uingereza, 19 Mei 1992) ni mtaalamu wa muziki, mtunzi, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi.
Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Sam Smith | |
---|---|
Sam Smith, mnamo 2015 | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Samuel Frederick Smith |
Amezaliwa | 19 Mei 1992 (1992-05-19) (umri 31) |
Aina ya muziki | Pop, R&B |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 2007-hadi leo |
Studio | Capitol Records |
Tovuti | samsmithworld.com |
Funga