Timu ya taifaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Timu ya taifa (kwa Kiingereza: national sports team, national team au national side) ni kundi la wachezaji wanaowakilisha taifa lao, si klabu wala eneo fulani, katika michezo ya kimataifa. Timu ya taifa ya Hispania mwaka 1928
Timu ya taifa (kwa Kiingereza: national sports team, national team au national side) ni kundi la wachezaji wanaowakilisha taifa lao, si klabu wala eneo fulani, katika michezo ya kimataifa. Timu ya taifa ya Hispania mwaka 1928