U-God
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lamont Jody Hawkins (amezaliwa tar. 7 Oktoba 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la marapa la Wu-Tang Clan. Yeye amekuwa na kundi hilo tangu kuanzishwa kwake, na unajulikana kwa kuwa na kina kirefu, yaani, kwa staili yake ya kuimba kama anasinzia na kuweza kuibadili kuwa ya kigumu halafu ya laini. Huyu huenda akawa mwanachama mwenye daraja la chini sana kundini.
Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Pia anajulikana kama ...
U-God | |
---|---|
U-God performing in Atlanta | |
Maelezo ya awali | |
Pia anajulikana kama | Golden Arms, Lucky Hands, Universal God of Law, Baby U, Baby Huey, Four-Bar Killer, Ugodz-Illa |
Amezaliwa | 7 Oktoba 1970 (1970-10-07) (umri 53) |
Asili yake | Staten Island, New York City, New York, US |
Aina ya muziki | Hip hop |
Miaka ya kazi | 1990āmpaka sasa |
Studio | Priority Records Free Agency Recordings |
Ame/Wameshirikiana na | Wu-Tang Clan Hillside Scramblers |
Funga