Umbali kimwili
From Wikipedia, the free encyclopedia
Umbali kimwili (kwa Kiingereza: social distancing au physical distancing) ni ushauri wa kulinda afya unaotumika ili kudumisha umbali kati ya watu wakati wa maambukizo. Lengo la umbali kimwili ni kukomesha maambukizo.
Umbali kimwili ni meta mbili kati ya watu wawili. Umbali kimwili hupunguza mzunguko wa virusi katika jamii.