Uziwi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uziwi ni hali ya mtu ambaye hawezi kusikia kabisa, au hawezi kusikia vizuri. Uziwi pia hujulikana kama 'kupoteza usikivu'.
Kulikuwa na watu wengi maarufu ambao walikuwa viziwi, kama vile Ludwig van Beethoven na Helen Keller.