Zuhura
From Wikipedia, the free encyclopedia
Zuhura ni sayari ya pili katika Mfumo wa Jua. Kati ya sayari zote za Jua ndiyo inayofanana zaidi na Dunia yetu.
Ukweli wa haraka Jina, Asili ya jina ...
Zuhura | |
---|---|
Zuhura kama ilivyoonwa na Mariner 10. | |
Jina | |
Asili ya jina | Kar. اَلزُّهَرَة (az-zuhara) |
Majina mengine | Ng'andu Venus (Kng.) |
Alama | |
Tabia za njiamzingo | |
Umbali mfupi | km 107,477,094 au 0.718440 |
Umbali mrefu | km 108,939,114 au 0.728213 |
km 108,208,927 au 0.723332 | |
Uduaradufu | 0.006772 |
siku 224.701 miaka 0.615198 | |
Mwinamo | 3.39458° toka njia ya Jua |
Tabia za kimaumbile | |
km 6,051.8±1.0 mara 0.9499 ya Dunia | |
Tungamo | kg 4.8675×1024 mara 0.815 ya Dunia |
g/cm3 5.243 | |
Uvutano wa usoni | m/s2 8.87 |
siku −116.75 (mzunguko wa kinyume) | |
siku −243.0226 (mzunguko wa kinyume) | |
Weupe | 0.76 (Bond) 0.689 (jiometri) |
Halijoto | K 737 (464°C) |
Funga