İlhan Mansız
From Wikipedia, the free encyclopedia
İlhan Mansız (alizaliwa 10 Agosti 1975) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Uturuki. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Uturuki.
Mansız ameichezea timu ya taifa ya Uturuki tangu mwaka wa 2001. Mansız alicheza Uturuki katika mechi 21, akifunga mabao 7.[1]