Abilene, Texas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Abilene ni mji wa Marekani katika jimbo la Texas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 116,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 524 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Abilene | |
Mahali pa mji wa Abilene katika Marekani |
|
Majiranukta: 32°26′47″N 99°44′44″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Texas |
Wilaya | Taylor Jones |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 115,390 |
Tovuti: www.abilenetx.com |
Funga
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Abilene, Texas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |