Amur Oblast
From Wikipedia, the free encyclopedia
Amur Oblast ni jina la kutaja oblast ambayo ni mkoa ulioko nchini Russia. Eneo lake ni km² 361.913 na idadi ya wakazi ni 860.686 (mwaka 2011). Makao makuu yako mjini Blagoveshchensk.
Mkoa wa Amur uko katika kusini - mashariki ya Siberia mpakani wa China kando la mto Amur ulio mpaka mwenyewe.