Analamanga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Analamanga ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,811,500. Mji mkuu ni Antananarivo.
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Analamanga |
|
Mahali pa Mkoa wa Analamanga katika Madagaska | |
Majiranukta: 18°56′S 47°31′E | |
Nchi | Madagaska |
---|---|
Wilaya | 8 |
Mji mkuu | Antananarivo |
Eneo | |
- Jumla | 16,911 km² |
Idadi ya wakazi (2004) | |
- Wakazi kwa ujumla | 2.811.500 |
Funga