Asmaa Mahfouz
Mwanaharakati / From Wikipedia, the free encyclopedia
Asmaa Mahfouz (kwa Kiarabu أسماء محفوظ; alizaliwa mwaka 1985) ni mwanaharakati, mwandishi wa blogu na mwanzilishi mmojawapo wa Harakati ya Vijana wa 6 Aprili nchini Misri.