Ben NevisFrom Wikipedia, the free encyclopedia Ben Nevis ni mlima ulioko Uskoti, wenye kimo cha mita 1,344. Ndio mrefu kuliko yote ya kisiwa cha Britania. Mlima Ben Nevis, upande wa Kusini
Ben Nevis ni mlima ulioko Uskoti, wenye kimo cha mita 1,344. Ndio mrefu kuliko yote ya kisiwa cha Britania. Mlima Ben Nevis, upande wa Kusini