Burgenland
From Wikipedia, the free encyclopedia
Burgenland (kwa Kijerumani pia: Burgenland) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 294.316 kwenye eneo la km² 3.965.
Mji mkuu ni Eisenstadt.
Waziri mkuu ni Hans-Peter Doskozil (SPÖ).