Charlotte Hornets
Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani iliyoko Charlotte, North Carolina / From Wikipedia, the free encyclopedia
Charlotte Hornets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Charlotte, North Carolina. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Terry Rozier.