Connecticut
From Wikipedia, the free encyclopedia
Connecticut ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Connecticut Nutmeg State |
|||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Hartford | ||
Eneo | |||
- Jumla | 14,357 km² | ||
- Kavu | 12,548 km² | ||
- Maji | 1,809 km² | ||
Tovuti: http://www.ct.gov/ |
Funga
Connecticut ilikuwa kati ya majimbo zilizoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda nchi mpya ya Marekani tangu 1778.
Imepakana na Massachusetts, Rhode Island na New York. Iko kwenye mwanbao wa Atlantiki. Mji mkuu ni Hartford na mji mkubwa ni Bridgeport. Jimbo lina wakazi 3,501,252 (2008) wanaokalia eneo la kilomita za mraba 14,356.