Corrado SanguinetiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Corrado Sanguineti (amezaliwa Milano, 7 Novemba 1964) ni askofu Mkatoliki nchini Italia. Alipata upadrisho tarehe 30 Oktoba 1988. Tarehe 16 Novemba 2015 ametangazwa kuwa askofu wa Jimbo la Pavia.
Corrado Sanguineti (amezaliwa Milano, 7 Novemba 1964) ni askofu Mkatoliki nchini Italia. Alipata upadrisho tarehe 30 Oktoba 1988. Tarehe 16 Novemba 2015 ametangazwa kuwa askofu wa Jimbo la Pavia.