Danilo II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Danilo II (kwa Kiserbia: Данило II) alikuwa askofu mkuu wa Waserbia miaka 1324-1337.
Akiwa kwanza mmonaki, aliandika kumbukumbu za watu na matukio mbalimbali ambazo ni kati ya maandishi muhimu ya Kiserbia.
Anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.