Dragan Stojković
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dragan Stojković (alizaliwa 3 Machi 1965) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Serbia. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Yugoslavia.
Stojković ameichezea timu ya taifa ya Yugoslavia tangu mwaka wa 1983. Stojković alicheza Yugoslavia katika mechi 83, akifunga mabao 15.[1]