Erlangen
From Wikipedia, the free encyclopedia
Erlangen ni mji wa Bavaria nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Regnitz. Idadi ya wakazi wake ni takriban 105,554. Mji ulianzishwa 1002.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Erlangen | |||
| |||
Mahali pa mji wa Erlangen katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 49°35′0″N 11°01′0″E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Bavaria | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 105,554 | ||
Tovuti: www.erlangen.de |
Funga