Flensburg
From Wikipedia, the free encyclopedia
Flensburg ni mji wa Schleswig-Holstein nchini Ujerumani. Mji uko kando la ghuba ya Flensburg karibu na pwani la Baltiki. Idadi ya wakazi wake ni takriban 88,718.
- Flensburg (2005)
- Nordertor
- Marineschule Mürwik
- Mürwiker Wasserturm
- Alexandra
- KBA
- Kitovu cha mji wa Flensburg
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Flensburg | |||
| |||
Mahali pa mji wa Flensburg katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 54°47′0″N 9°26′0″E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Schleswig-Holstein | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 88,718 | ||
Tovuti: www.flensburg.de |
Funga