Gotland
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gotland ni kisiwa, manispaa na jimbo nchini Uswidi.
Ndiyo kisiwa kikubwa cha kwanza nchini Uswidi na pia ni kisiwa kikubwa cha Bahari ya Baltiki.
Kuna wakazi 58,003 (mwaka 2016). Mji mkubwa wa kwanza ni Visby.