Guillermo Martín Abanto Guzmán
From Wikipedia, the free encyclopedia
Guillermo Martín Abanto Guzmán (amezaliwa 1 Julai 1964) ni askofu msaidizi Mkatoliki nchini Peru. Aliwekwa wakfu na Kardinali Cipriani Thorne mwaka wa 2009. Tangu mwaka huo ni askofu msaidizi wa Dayosisi ya Lima na askofu wa Dayosisi ya Pinhel.