Hildesheim
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hildesheim ni mji wa Saksonia Chini nchini Ujerumani ya Kaskazini, km 30 upande wa kusini wa mji mkuu Hannover. Idadi ya wakazi wake ni takriban 102,903.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Hildesheim | |||
| |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Saksonia Chini | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 102.903 | ||
Tovuti: http://www.hildesheim.de/ |
Funga
Ni mji wa kihistoria maarufu hasa kwa majengo yaliyoachwa na askofu Benwadi aliyeishi huko mnamo 993-1022 BK.