Horst Buchholz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Horst Werner Buchholz (4 Desemba 1933 – 3 Machi 2003) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Ujerumani. Ana kumbukwa zaidi kwa kucheza kama Chiko kutoka katika filamu ya The Magnificent Seven. Buchholz amepata kuonekana katika filamu zaidi ya sitini wakati wa shughuli zake kuanzia mwaka 1952 hadi mwaka wa 2002.