Jane Goodall
Mtaalamu wa primatologist wa Kiingereza na mwanaanthropolojia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Jane Goodall (jina kamili: Valerie Jane Morris-Goodall; alizaliwa Hampstead, Uingereza, Aprili 1934) ni mwana anthropolojia na mwana primatolojia, maarufu kwa sababu aliandika na alifundisha watu wengi kuhusu sokwe.
Alisafiri katika nchi ya Tanzania, na aliishi katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe ili kuona sokwe. Niliandika tasnifu yake ambaye inaitwa Behavior of Free-Living Chimpanzees.