Jesús Vallejo
Mchezaji wa soka wa nchini Hispania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Jesús Vallejo Lázaro (alizaliwa tarehe 5 Januari 1997) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea timu ya Real Madrid kama mkabaji wa kati.
Jesús Vallejo amachezea timu mbili za klabu katika maisha yake ya kucheza mpira. Ambazo ni: