John BauerFrom Wikipedia, the free encyclopedia John Bauer (4 Juni 1882 - 20 Novemba 1918) alikuwa mchoraji kutoka Uswidi. Yeye alisoma katika Chuo cha Sanaa mjini Stockholm. Picha zake unapatikana katika kitabu Bland tomtar och troll (Baina ya Mibilikimo na Majitu). Bauer alivyojichora mwenyewe
John Bauer (4 Juni 1882 - 20 Novemba 1918) alikuwa mchoraji kutoka Uswidi. Yeye alisoma katika Chuo cha Sanaa mjini Stockholm. Picha zake unapatikana katika kitabu Bland tomtar och troll (Baina ya Mibilikimo na Majitu). Bauer alivyojichora mwenyewe