Kahramanmaraş
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kahramanmaraş ni mji uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kahramanmaraş. Mji una wakazi takriban 326,198, kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000.