Kevarrius Hayes
mchezaji wa mpira wa kikapu / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kevarrius Hayes (alizaliwa Machi 1997) ni mchezaji wa Amerika mwenye asili ya Afrika ya kati mwenye taaruma ya mpira wa kikapu aliechezea timu ya Žalgiris Kaunas inayoshiriki katika ligi ya mpira wa kikapu ya Lithuanian (LKL) na ligi ya Euro. Ni mshiriki wa mpira wa kikapu katika timu ya chuo iitwayo Florida Gators. Kimataifa anawakilisha timu ya mpira wa kikapu ya Jamuhuri ya Afrika ya kati.