MautiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mauti (kutoka Kiarabu موت, maut) au kifo (kutoka kitenzi cha Kibantu kufa) ni mwisho wa uhai; kwa lugha ya biolojia mwisho wa michakato yote ndani ya kiumbehai ambayo ni dalili za uhai. Fuvu la kichwa, ishara maarufu ya kifo. Mauti ikishughulikia maua yake, katika Kuoleman puutarha, kazi ya Hugo Simberg (1906). Idadi ya vifo kati ya watu milioni moja mwaka 2012 1054-4,598 4,599-5,516 5,517-6,289 6,290-6,835 6,836-7,916 7,917-8,728 8,729-9,404 9,405-10,433 10,434-12,233 12,234-17,141
Mauti (kutoka Kiarabu موت, maut) au kifo (kutoka kitenzi cha Kibantu kufa) ni mwisho wa uhai; kwa lugha ya biolojia mwisho wa michakato yote ndani ya kiumbehai ambayo ni dalili za uhai. Fuvu la kichwa, ishara maarufu ya kifo. Mauti ikishughulikia maua yake, katika Kuoleman puutarha, kazi ya Hugo Simberg (1906). Idadi ya vifo kati ya watu milioni moja mwaka 2012 1054-4,598 4,599-5,516 5,517-6,289 6,290-6,835 6,836-7,916 7,917-8,728 8,729-9,404 9,405-10,433 10,434-12,233 12,234-17,141