KijivuFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kijivu (kwa Kiingereza: "grey") ni jina la aina za rangi zinazocheza kati ya nyeusi na nyeupe kwa kuzichanganya kwa kadiri tofautitofauti. Aina za kijivu. Jina la rangi hiyo linatokana na majivu. Simiti ina rangi ya kijivu, pia tembo inaweza kuonyesha rangi hiyo.
Kijivu (kwa Kiingereza: "grey") ni jina la aina za rangi zinazocheza kati ya nyeusi na nyeupe kwa kuzichanganya kwa kadiri tofautitofauti. Aina za kijivu. Jina la rangi hiyo linatokana na majivu. Simiti ina rangi ya kijivu, pia tembo inaweza kuonyesha rangi hiyo.