Kirikou
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kirikou (pia Kiringgou au Kirote) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Warikou kwenye kisiwa cha Rote. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kirikou imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirikou iko katika kundi la Kitimor-Babar.