Kituo cha reliFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kituo cha reli (pia: kituo cha garimoshi) ni mahali ambako abiria wanaweza kuingia na kutoka kwenye treni, na ambako mizigo inaweza kupakiwa au kutolewa. Kituo cha reli Kigoma kwenye mwisho wa reli ya kati Kituo kipya cha reli ya SGR mjini Nairobi
Kituo cha reli (pia: kituo cha garimoshi) ni mahali ambako abiria wanaweza kuingia na kutoka kwenye treni, na ambako mizigo inaweza kupakiwa au kutolewa. Kituo cha reli Kigoma kwenye mwisho wa reli ya kati Kituo kipya cha reli ya SGR mjini Nairobi