Kizima motoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kizima moto ni chombo kinachotoa kiowevu, gesi au dawa la unga vinavyozuia mwako na kuzima moto. Giligili ndani yake huntunzwa kwa shindikizo inatoka kwa mbio kama vali yake inafunguliwa. Kizima moto chenye dawa la unga Kizima moto chenye CO2 chazima TV inayowaka
Kizima moto ni chombo kinachotoa kiowevu, gesi au dawa la unga vinavyozuia mwako na kuzima moto. Giligili ndani yake huntunzwa kwa shindikizo inatoka kwa mbio kama vali yake inafunguliwa. Kizima moto chenye dawa la unga Kizima moto chenye CO2 chazima TV inayowaka