Kolwezi
Kolwezi (pia: Kolwesi) ni mji mkuu wa mkoa wa Lualaba nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Idadi ya wakazi wake ni takriban 572,942 (2015). / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kolwezi (pia: Kolwesi) ni mji mkuu wa mkoa wa Lualaba nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Kolwezi | |
Mahali pa mji wa Kolwezi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|
Majiranukta: 10°43′0″S 25°28′0″E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mkoa | Lualaba |
Wilaya | Kolwezi |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 572,942 |
Funga