Latvia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Latvia (kwa Kilatvia: Latvija au Latvijas Republika, kwa Kilivonia: Lețmō au Leţmō Vabāmō) ni nchi ya Kibalti katika Ulaya ya Kaskazini.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Tēvzemei un Brīvībai (Kilatvia: " Kwa taifa na uhuru ") | |||||
Wimbo wa taifa: Dievs, svētī Latviju! (Kilatvia: "Mungu ubariki Latvia!") | |||||
Mji mkuu | Riga 56°57′ N 24°6′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Riga | ||||
Lugha rasmi | Kilatvia | ||||
Serikali | Demokrasia Egils Levits Arturs Krišjānis Kariņš | ||||
Uhuru Ilitangazwa (kutoka Urusi) Ilitambuliwa Ilitangazwa (mwanzo wa kuachana na Umoja wa Kisovyeti) Ilikamilishwa |
18 Novemba 1918 26 Januari 1921 4 Mei 1990 6 Septemba 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
64,589 km² (ya 124) 1.5 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
1,973,700 (ya 148) 2,070,371 34.3/km² (166) | ||||
Fedha | Euro (EUR ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .lv 1 | ||||
Kodi ya simu | +371
- |
Funga
Imepakana na Estonia, Lithuania, Belarus na Urusi. Uswidi iko ng'ambo ya bahari ya Baltiki.
Latvia ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1 Mei 2004.