Limoges
From Wikipedia, the free encyclopedia
Limoges ndiyo mji mkuu katika mkoa la Limousin. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 250,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 690-1410 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Limoges | |
Mahali pa mji wa Limoges katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 45°51′0″N 1°15′0″E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Limousin |
Wilaya | Haute-Vienne |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 135,539 |
Tovuti: www.ville-limoges.fr |
Funga